6/recent/ticker-posts

ALIY HASSAN KUTOKA ZANZIBAR ABISHA HODI VIWANJA VYA JASCO SHINYANGA ,AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MASHINDANO YA DKT.SAMIA CUP

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akimkabidhi vifaa vya michezo Mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyanga Jackson Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

 Na.Amo Blog Shinyanga.

 Wakati Mashindano ya Dkt.Samia Cup yakiendelea kutimua vumbi katika viunga mbalimbali katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa lengo la kumtafta bingwa atakaye ibuka na zawadi mbalimbali katika mashindano hayo,mmoja wawadau kutoka Zanzibar amefika mkoani Shinyanga na kutembelea Uwanja vya Jasco uliopo katika kata ya Ngokolo kwa ajili ya kutazama mashindano hayo huku akikabidhi zawadi ya vifaa vya michezo kwa mzee Kapufi ambaye ni mwalimu anaye fundisha wamuzi wamchezo wa mpira wamiguu katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga .

Pia Aliy Hassan amepongeza kamati ya maandalizi ya ligi ya Dkt.Samia Cup kwa andaa ligi hiyo ambayo itasaidia kuibua vipaji vya vijana ndani ya Manispaa ya Shinyanga na Mkoa kwa ujumla.

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akiendelea kumkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyaga Jackson Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akiendelea kumkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyaga Jackson Kapufi Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akiendelea kumkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha wamuzi Manispaa ya Shinyaga Jackson Kapufi Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akiendelea kumkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyaga Jackson Kapufi  Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akiendelea kumkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyaga Jackson KapufiKapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akiendelea kumkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyaga Jackson Kapufi  Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga

Mdau wa michezo Aliy Hassan kutoka Zanzibar akiendelea kumkabidhi vifaa vya michezo mkurugenzi wa kituo cha waamuzi Manispaa ya Shinyaga Jackson Kapufi Kapufi katika uwanja wa Jasco uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga.

Post a Comment

0 Comments