6/recent/ticker-posts

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI TAWI LA KIZUMBI SHINYANGA!! WAMSHANGAZA MENEJA WA HALOTEL KATIKA BONANZA LA MICHEZO


Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa pili na watatu wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakishangilia ushindi zawadi ya mbuzi kutoka haloteli baada ya kuwafunga wanachuo wa wamwaka wakwanza katika mchezo wa mpira
 wa mikono.

Na Amo Blog Shinyanga 

Tamasha la michezo la "Kichuo chuo Bonanza" lafanyika katika uwanja wa michezo wa Ushirika na wanachuo wa MoCU waibuka na ushindi katika michezo yote.

Bonanza hilo lililoandaliwa na kampuni ya halotel kwa kushirikiana Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) limewakutanisha wanachuo wa mwaka wa kanza na mwaka wapili na watatu ikiwa ni sehemu ya kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wakwanza katika chuo hicho MoCU .

 Timu hizo zimeshindana katika michezo ya mpira wa miguu (wanaume na wanawake), mpira wa pete na mpira wa wavu.

 Akizungumza na Wanachuo Mwakilishi wa mkurugenzi wa Chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Beatrice Karia amemshukuru meneja wa kampuni ya Haloteli kwa kudhamini bonanza hilo huku akiwataka wanachuo wa maka wakwanza kudumisha umoja na mshikamano baina yao na wanachuo walio wakuta katika chuo hicho maana kufanya hivyo kutasaidia kuchochea maendeledo ya chuo hicho.

Naye meneja wa Kampuni ya Halotel Frank Mashauri amewataka wanachuo kuendelea kufanya mazoezi huku akiwashauri kutumia mtandao wa Halotel kwa kununua vifurushi vitakavyo wawezesha wao kujisomea na kujifunza mambo mbalimbali yatakayo saidia kuinua kiwango cha taaluma maana wanazo ofa za wanachuo zinazo patikana kwa bei nafuu.


Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakionyesha umwamba wao wakati wa kuvuta kamba.

Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga baada ya kuwanyoosha Wanachuo wa mwaka wapili kwa kichapo cha magoli mawili kwa moja .
Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa pili chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga baada ya kukubali kunyooshwa na Wanachuo wa mwaka wakwanza kwa kukubali kichapo cha magoli mawili kwa moja .
Wafanyakazi chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakiendelea kufurahia burudani.
Mwakilishi wa Mkurugenzi chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga Beatrice Karia akizungumwa na wanachuo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Chuo hicho wakati wa bonanza .
Mwakilishi wa Mkurugenzi chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga Beatrice Karia katikati akizungumza na wanachuo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Chuo hicho  Kulia akiwa ni Meneja Wa kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri.
Mwakilishi wa Mkurugenzi chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga Beatrice Karia katikati Kulia akiwa ni Meneja Wa kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri.
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakionyesha vipaji vyao katika ukumbi wa chuo hicho.
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakionyesha vipaji vyao katika ukumbi wa chuo hicho.

Mmoja wawana chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  akionyesha kipaji chake katika ukumbi wa chuo hicho.
Viongozi wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakifurahia burudani mbalimbali katika ukumbi wa chuo hicho.
Viongozi wa Serikali ya wanachuo wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakifurahia burudani mbalimbali katika ukumbi wa chuo hicho.
Wanachuo wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakitoa  burudani mbalimbali katika ukumbi wa chuo hicho.
Wanachuo wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakifurahia burudani mbalimbali katika ukumbi wa chuo hicho.
Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa Kwanza wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakicheza mchezo wa Vollebo katika uwanja wa mpira wa Volebo.
Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa pili na watatu chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakicheza mchezo wa Vollebo katika uwanja wa mpira wa Volebo.
Viongozi wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakifurahia burudani  katika uwanja wa mpira wa Volebo

Viongozi wa Serikali ya wanachuo wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakifurahia burudani uwanjani.
Wanachuo wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga  wakijiunga na huduma za Halotel kutoka kwa mawakala wa kampuni hiyo.

Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa pili na watatu chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakicheza mchezo wa Vollebo katika uwanja wa mpira wa Volebo.
Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa pili na watatu chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakicheza mchezo wa Vollebo katika uwanja wa mpira wa Volebo.
Timu ya Wanachuo wa Mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi Shinyanga wakicheza mchezo wa Vollebo katika uwanja wa mpira wa Volebo.
Viongozi wa Kampuni ya Halotel wakikabidhi zawadi kwa wasdhindi wa michezo mbalimbali.
Viongozi wa Kampuni ya Halotel wakikabidhi zawadi kwa wasdhindi wa michezo mbalimbali.










































Post a Comment

0 Comments