6/recent/ticker-posts

EWE MWANA SHINYANGA PATA MKOPO HADI SHILINGI LAKI 5 BILA DHAMANA UKIWA NA AKAUNTI YA NMB PESA AKAUNTI ,INAFUNGULIWA KWA BUKU TU

Na Amo Blog Shinyanga .

EWE MWANA SHINYANGA USIKUBALI KUACHWA NYUMA ,NMB Pesa Akaunt ni Akaunti ya kidijitali na ya haraka zaidi ambayo ukiwa na kitambulisho chako na shilingi elfu moja (1000) unafungua akaunti ukiwa popote .

Hizi ndizo fursa unazo pata ukiwa na Akaunti ya NMB pesa Akaunti.

Mikopo isiyo na dhamana

Kutoa, kuweka au kutuma pesa

Kulipia bili

Kubwa zaidi; hakuna ada za kila mwezi

Una pata taarifa zote kupitia simu yako tu (kitochi au simu janja).

Haachwi mtu nyuma ,kutana na wakala wa NMB ujipatie akaunti yako. Au tembelea ofisi za NMB Tawi la Manonga Shinyanga.





Post a Comment

0 Comments