6/recent/ticker-posts

💥💥JAMBO KUBWA KUTIKISA SHINYANGA APRILI 22 ... 'NMB KIJIJI DAY KATA YA DIDIA SHINYANGA '.... UNAKOSAJE KWA MFANO!

                             Na Amojmedia Blog 

NMB KIJIJI DAY.....Wanakuletea tamasha kubwa litakalo husisha Mashindano ya Mbio za baiskel yatakayo endana na Ufunguaji wa Akaunti za NMB Pesa Accounts ,Chapchap Accounts ,Elimu ya Bima na ukataji wa Bima pamoja na mchezo wa mpira wa miguu Siku ya Jumatatu Aprili 22,2024 katika uwanja wa Shule ya Msingi Didia ikiwa ni sehemu ya kuendelea kuwafikia wananchi walioko vijijini katika maeneo yote Nchini.
Kampeni ya NMB Kijiji Day analetwa na Uongozi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi wakishirikiana na uongozi wa NMB Benki Tawi la Manonga ambapo pamoja na mambo mengine uwanjani kutakuwa burudani mbali mbali...Muda kuanzia saa 1 kamili  asubuhi hadi saa 12 kamili Jioni   #NMB KARIBU YAKO # HAACHWI MTU NYUMA save the date....💥tuna jambo letu,hakuna kiingilio.

Post a Comment

0 Comments