6/recent/ticker-posts

MKURUGENZI SALU SECURITY BANDORA SALUMU MIRAMBO AONGOZA MAHAFALI YA 16 NGAZI YA STASHAHADA NA ASTASHAHADA CHUO CHA UALIMU SHINYANGA

Mkurugenzi wa kampuni ya Salu Security Bandora Salum Mirambo ameongoza Mahafali ya 16 ya Wahitimu Ngazi ya Stashahada na Astashahada katika chuo cha ualimu Shinyanga (SHY COM) 
Akizungumza na Wahitimu wa Chuo hicho Ngazi ya Stashahada na Astashahada katika chuo cha ualimu Shinyanga katika Mahafali yaliyo fanyika leo April 25 katika Chuo hicho, Bandora ameushukuru Uongozi wa Chuo kwa kuendelea kumkumbuka na kumshirikisha katika shughuli za kijamii huku akinukuu kitabu kitakatifu biblia Mithali 8: 17-21, amemshukuru Mungu kwa neema zake na kwa upendo mkubwa kwa taifa letu.
Aidha Bandora amewasii wahitimu kutumia Ujuzi na elimu waliyo ipata kujiajiri kuliko kusubili kuajiliwa na selikari huku akiwasii kuwa na nidhamu katika jamii inayo wazunguka.

Tazama picha za mahafali ya 16 SHY COM  hapa  .
Picha ya pamoja wahitimu wa Mahafari ya 16 chuo cha ualimu Shinyanga (SHY COM)
Mkurugenzi wa kampuni ya Salu Security Bandora Salum Mirambo akiongoza Mahafari ya 16 chuo cha ualimu Shinyanga (SHY COM)
Mkurugenzi wa kampuni ya Salu Security Bandora Salum Mirambo akiongoza Mahafari ya 16 chuo cha ualimu Shinyanga (SHY COM)
Picha ya pamoja wahitimu wa Mahafari ya 16 chuo cha ualimu Shinyanga (SHY COM)

Mkurugenzi wa kampuni ya Salu Security Bandora Salum Mirambo akiongoza Maandamano.


 

Post a Comment

0 Comments