6/recent/ticker-posts

RC MACHA KUZINDUA RASMI KAMPENI YA TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA SHINYANGA OKITOBA 18 SHULE YA MSINGI BUDUHE KISHAPU

KAMPENI ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" inatarajia kuzinduriwa rasmi kimkoa Okitoba 18 katika uwanja wa Shule ya Msingi Buduhe halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga na kushirikisha viongozi wa vyama vya siasa ,viongozi wa dini ,Asasi za kiraia na wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari na vyuo mkoani humo.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeti Magomi wakati akielezea maandalizi ya uzinduzi wa kampeni hiyo ambapo amefafanua kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga mhe.Anamringi Macha .


Post a Comment

0 Comments