6/recent/ticker-posts

Picha : BENKI YA NMB TAWI LA MANONGA SHINYANGA YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA...YAAHIDI KUENDELEA KUWA KARIBU NA WATEJA

Benki ya NMB Tawi la Manonga imeahidi kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuendelea kuwa karibu nawateja wake ili kuhakikisha wateja wa benki ya NMB wanaendelea kupata huduma bora za kibenki hali itakayo waweze sha kufikia malengo yao.

Karibu katika tawi letu la NMB Manonga upate huduma bora za kibenki.

#NMBJirani #Tumekupata #NMBKaribuYako

TAZAMA PICHA YA MATUKIO YOTE HAPA CHINI.











































Post a Comment

0 Comments