6/recent/ticker-posts

TAZAMA UBORA WA KOM PRIMARY SCHOOL SHINYANGA – MATOKEO MTIHANI DARASA LA SABA 'PSLE' 2025 WOTE WAMEFAULU KWA DARAJA LA JUU




Matokeo KOM Pre & Primary School
Breaking : HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2025

Shule ya awali na msingi KOM imeandika historia mpya ya mafanikio baada ya wanafunzi wote 67 waliofanya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba (PSLE) 2025 kufaulu kwa daraja la juu,kwa ufaulu wa Daraja A (Bora).

Takwimu za NECTA zinaonyesha kuwa wanafunzi 62 wamepata Daraja A na 5 Daraja B, bila hata mmoja kupata alama za chini — nakuifanya shule hiyo kuwa miongoni mwa shule bora zilizo fanya vizuri kitaifa, kwa wastani wa ufaulu wa 272.98.

Kwa miaka kadhaa, Shule ya awali na msingi KOM imekuwa kinara wa elimu bora, ikiwajengea watoto msingi wa maarifa, maadili na ubunifu, huku wazazi wakisifu mazingira yake salama na ufundishaji makini 🏆📚.

Post a Comment

0 Comments