Kishapu Jogging Club leo Oktoba 17, 2026, imeelekea Ukenyenge kuungana na Ukenyenge Jogging Club kufanya mazoezi ya pamoja, huku Mwenyekiti wa Kishapu Jogging, Revocatus Mboya, akisisitiza umuhimu wa mazoezi katika kuimarisha afya, kudumisha umoja na kukuza ushirikiano miongoni mwa wanajamii.
0 Comments