6/recent/ticker-posts

ASKARI 12 KUTOKA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI SHINYANGA WAPANDISHWA VYEO

Kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga MARTIN NYAMBALA Akiwatunuku vyeo askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya Kamishna Jenerali,wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF JOHN MASUNGA.

NA AMO BLOG SHINYANGA.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF JOHN MASUNGA amewapandisha vyeo askari wa Jeshi hilo wapatao 414 kote nchini,kutoka cheo cha Constable na kuwa Coplo.

Akiwatunuku vyeo hivyo leo kwa niaba ya Kamishna Jenerali,Kamanda wa zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga MARTIN NYAMBALA amesema katika mkoa huo jumla ya askari 12 wamepandishwa vyeo.

Kati ya askari 12 waliopanda vyeo,askari 9 ni wa kiume na askari wa 3 ni wa kike.

Kamanda Nyambala amewataka askari hao kutobweteka kwa vyeo walivyopata badala yake watumie weledi wao kuwasqidia wananchi yanapotokea majanga ya moto huku akiikumbusha Jamii kukagua mifumo ya umeme majumbani kwa kuwa imekuwa ikitajwa kuwa ni chanzo cha ajali za moto.

Zoezi la upandishwaji vyeo askari wa zimamoto na uokoaji kwa mkoa wa Shinyanga limefanyikq kwenye viwanja vya ofisi za jeshi hilo mjini shinyanga ambapo baadhi ya askari waliopanda vyeo wameahidi kuendelea kuwatumikia wananchi 

Kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga MARTIN NYAMBALA Akiendelea kuwatunuku vyeo askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya Kamishna Jenerali,wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF JOHN MASUNGA.

Post a Comment

0 Comments