6/recent/ticker-posts

DIWANI WA KATA YA NDEMBEZI VICTOR MMANYWA AUNGANA NA KAMATI YA SIASA YA KATA KUTEMBELEA MIRADI INAYO TEKELEZWA KATA YA NDEMBEZI.

Diwani wa kata ya Ndembezi Mhe. Victor Thobias Mmanywa Akiwa na Viongozi wa kamati ya siasa ya kata ya Ndembezi wakati wakikagua utekelezaji wa Ilani Shule ya Sekondari Mazinge

Na Amo Blog Shinyanga.

Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kata hiyo ikiwa nisehemu ya utekelezaji wa ilani.

Mwenyekiti wa kamati ya Maendeleo ya kata hiyo Mh.Victor Thobias Mmanywa pamoja na Viongozi wa Kamati ya Siasa kata ya Ndembezi wameonyesha kuridhishwa na utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Kata .

Akitoa Taarifa ya utekelezaji wa Ilani mbele ya kamati ya Siasa ya kata hiyo Diwani wa kata ya Ndembezi  Mh.Victor Thobias Mmanywa amesema kwa ujumla  baadhi ya miradi inatekelezwa na kusimamia Ipasavyo ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo  barabara na Elimu ndani ya kata hiyo

Mhe, Victor Thobias Mmanywa pia amepongeza wadau wamaendeleo wanao unga jitahada za serikali kwa kutekeleza miradi katika kata hiyo hali inayo ifanya kata ya Ndembezi kupiga hatua kimaendeleo

Diwani wa kata ya Ndembezi Mhe. Victor Thobias Mmanywa Akiongoza kamati ya siasa ya kata ya Ndembezi kukagua utekelezaji wa Ilani

Diwani wa kata ya Ndembezi Mhe. Victor Thobias Mmanywa Akiongoza kamati ya siasa ya kata ya Ndembezi kukagua utekelezaji wa Ilani Shule ya Sekondari Mazinge
 
Diwani wa kata ya Ndembezi Mhe. Victor Thobias Mmanywa Akiongoza kamati ya siasa ya kata ya Ndembezi kusoma utekelezaji wa Ilani katika ofisi ya Kata 

Post a Comment

0 Comments