6/recent/ticker-posts

WATUMISHI MANISPAA YA SHINYANGA WASHIRIKI SIKU YA USAFI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI SOKO LA KAMBARAGE

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga  Alexius Kagunze akishiriki zoezi la usafi katika soko la Kambarage.

Na Amo Blog Shinyanga.

Katika maadhimisho ya siku ya usafi duniani Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyanga Johari Samizi amewaongoza watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kufanya usafi katika soko la Kambarage tukio lililo andaliwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga.

 Manispaa pamoja na kushiriki kufanya usafi katika eneo hilo wametumia maadhimisho hayo kukabidhi vifaa vya kukukusanyia taka katika soko hilo na masoko mengine,kwa lengo la kufikisha ujumbe wa kukumbusha jamii kuendelea kufanya usafi ili mazingira yaendelee kuwa safi 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga  Alexius Kagunze akishiriki zoezi la usafi katika soko la Kambarage.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga  Alexius Kagunze akishiriki zoezi la usafi katika soko la Kambarage.
Viongozi mblimbali wakishiriki zoezi la usafi katika soko la Kambarage.
Viongozi mblimbali wakishiriki zoezi la usafi katika soko la Kambarage.

Zoezi la usafi katika soko la Kambarage likiendelea

Post a Comment

0 Comments