6/recent/ticker-posts

NSSF SHINYANGA YAHITIMISHA MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUKABIDHI TUZO KWA WAAJIRI AMBAO WAMEKUA WAKILIPA MICHANGO YA WAAJIRIWA WAO KWA WAKATI

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Shinyanga Amina Mdabi akikabidhi tuzo kwa waajiri ambao wamekua wakilipa michango ya waajiriwa wao kwa wakati.


Na Amo Blog Shinyanga

 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Shinyanga Amina Mdabi ametumia hafla ya kilele cha wiki ya huduma kwa wateja kuwakumbusha mamalishe Bodaboda na wajasiliamali kujiunga Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

 Akizungumza wakati wa kufunga wiki ya huduna kwa wateja Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Shinyanga Amina Mdabi amesema wananchi wanapaswa kutumia Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kujiwekea fedha kidogokidogo ili fedha hizo ziweze kuwasaidia siku za baadae.

 Pia Meneja Mdabi ametumia hafla hiyo kutoa tuzo kwa waajiri ambao wamekua wakilipa michango ya waajiriwa wao kwa wakati.


















Post a Comment

0 Comments