6/recent/ticker-posts

DC SAMIZI AWAPA FURAHA WAHANGA WA MNVUA CHIBE KWA KUGAWA BLANGETI NA MAHINDI

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akikabidhi mahindi kwa waanga walioezuliwa makazi yao na mvua katika kata ya Chibe.

Na Amo Blog Shinyanga 

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi amegawa blangeti na Mahindi kwa waanga ambao makazi yao yaliezuliwa na upepo kutoka na mvua kubwa iliyonyesha Tarehe Okitoba 17,2023 ambapo jumla ya Kaya 8 ziliathrika na mvua hiyo ikiwemo kukosa makazi ya kuishi.

Akikabidhi msaada huo katika Ofisi ya Mtendaji wa kata ya Chibe Mhe. Samizi ametoa pole kwa waanga wote walio kumbwa na tatizo hilo huku akiwataka wakazi wakata hiyo kujenga nyumba imara ili kuepuka changamoto zinazo jitokeza kutokana na mvua kubwa zinazo endelea kunyesha.

"Poleni sana ndugu zangu kwa maafa yaliyowapata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan anawajali na anawatambua ndo maana leo nipo hapa kwa ajili ya kuwapatia blangeti kwa ajili ya kujikinga na baridi pamoja na mahindi ya chakula  lakini pia niwatake msimu wa mvua utakapopita tuboreshe nyumba zetu na tujenge nyumba zenye uimara" amesema Mhe. Samizi

 Pia Mhe. Samizi amegawa jumla ya blangeti 40 katika kaya 8 zenye watu 40 pamoja na mahindi tani 1 kwa watu 40.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akikabidhi Blangeti kwa waanga walioezuliwa makazi yao na mvua katika kata ya Chibe.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akikabidhi mahindi kwa waanga walioezuliwa makazi yao na mvua katika kata ya Chibe.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akikabidhi blangeti kwa waanga walioezuliwa makazi yao na mvua katika kata ya Chibe.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akikabidhi blanketi kwa waanga walioezuliwa makazi yao na mvua katika kata ya Chibe.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akikabidhi blangeti kwa waanga walioezuliwa makazi yao na mvua katika kata ya Chibe.

Post a Comment

0 Comments