6/recent/ticker-posts

BONANZA LA HALOTEL ‘UNI-BANG CONCERT’ LAFANA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI TAWI LA KIZUMBI SHINYANGA ,WANAFUNZI WAIBUKA NA ZAWADI NONO

Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la kizumbi Manispaa ya Shinyanga .

Na Amo Blog Shinyanga. 

KAMPUNI ya simu ya Halotel jana imetoa furaha kwa  wanafunzi wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi mkoani Shinyanga kupitia binanza lake la ‘uni-bang concert’ lililofanyika katika uwanja wa chuo hicho na kuhudhuriwa na wanafunzi pamoja na Wakufunzi wa chuo hicho. 

Bonanza hilo lilipambwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya ,Wana mitindo ,pamoja na  michezo ya aina mbalimbali kama vile Netiboli, soka na mingineo. 

Akizungumzia kuhusiana na bonanza hilo Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri alisema tamasha hilo lina lengo la kuimarisha uhusiano baina ya Halotel na wanafunzi wa vyuo ndani ya mkoa huo. 

‘Toka mtandao wetu umeanza hapa nchini tumejikita katika kuhakikisha tunaboresha huduma za simu nchini, lakini kwa upekee kabisa tumekuwa tunawapa wanafunzi huduma bora na nafuu zaidi’ alisema Frank. 

Bonanza hilo lilianza majira ya saa mbili  asubuhi kwa michezo ya aina mbalimbali kama vile Netiboli ,Mpira wa kikapu pamoja na soka ambapo katika mchezo wa Netiboli timu ya wanafunzi wa mwaka wapili na mwaka wa tatu  iliibuka na ushindi dhidi ya timu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza.

Kwa upande wa mchezo wa soka zilicheza timu mbili ambapo ilianza timu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza dhidi ya timu ya wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu ambapo timu ya mwaka wakwanza iliibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya timu ya wanafunzi wa mwaka wapili na watatu. 

Katika mchezo mwingine , timu ya wanafunzi wa kiume wa mwaka wa kwanza imeifunga timu ya wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu magoli 2-1.

Michezo hiyo kwa ujumla imewafurahisha wanafunzi wengi ambapo pia wanafunzi hao walipata wasaa wa kujiunga na huduma za mtandao huo wa simu kama vile kununua laini, kujiunga vifurushi na mengineo.

 Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Chuo hicho Beatrice Karia ameushukuru uongozi wa kampuni ya halotel mkoa wa Shinyanga kwa kuweka mkakati wakuwafikia wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati na kuwaunganishia huduma za vifurushi vya bei nafuu huku akiwaomba viongozi wa haloteli kuendeleza kampeni hiyo.

 ‘Tunawashukuru sana Halotel kwa kufanikisha bonanza hili, na kama unavyoona wanafunzi wamepata nafasi ya kuburudika lakini pia kubadilishana mawazo’ alisema Beatrice. 

Wanafunzi walio sajili laini za Halotel wakikabidhiwa zawadi zao.

Post a Comment

0 Comments