6/recent/ticker-posts

MAHAFALI YA KWANZA ANGEL GABRIEL DAY CARE CENTER SHINYANGA YAFANA ,WAZAZI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU KWA AJILI YA WATOTO WAO

Na Amo Blog Shinyanga

Vipaji vya watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care iliyopo Katika kata ya Mwasele Manispaa ya Shinyanga mkoani humo vimemvutia mgeni rasmi pamoja na waalikwa katika mahafali ya kuhitimu chekechea, MAHAFALI iliyofanyika jana Tarehe 02/12/2023 katika viwanja vya shule hiyo

Akiongoza mahafari hayo mgeni rasmi ambaye ni katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo ameupongeza uongozi wa kituo hicho kwa kuboresha mazingira ya kulelea watoto na kuwaomba wazazi na walezi kupeleka watoto wao katika kituo hicho kwani kituo kinawalea watoto katika maadili na kuwajengea uwezo wakufanya vizuri kitaaluma.

Kwa upande wake mkurugenzi wa kituo hicho Damary Mollessi akitoa taarifa ya kituo hicho amesema kuwa kituo kunapokea na kutoa malezi kwa watoto wa kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitano na kuwalea watoto hao katika maadili na kuhakikisha watoto wanao hitimu katika kituo hicho wanafanya vizuri kitaaluma.

Pia Damary amewaomba wazazi na walezi kupeleka watoto wao wenye umri wa mwaka mmoja hadi miaka mi tano katika kituo hicho kilichopo karibu na ofisi za mabasi ya Okasi mwasele maana kituo hicho kinatoa malezi na elimu bora kwa watoto. 

Damary ameeleza kuwa Kituo cha Angel Gabriel kimesajiliwa kwa usajili wa  namba 2726 ambapo amewaomba wazazi wanao hitaji fomu kwa ajili ya watoto kujiunga na kituo hicho kutembelea kituoni au kupiga sumu  kwa mkurugenzi wa kituo kwa simu na 0752516753/0675969213.

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo akizungumza na wazazi na walezi wawatoto wanao lelewa katika kituo cha Angel Gabriel Day Care Center Mwasele Manispaa ya Shinyanga 

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo akiwa na katibu wa UWT mkoa Wa Shinyanga Asha Chitandala katika mahafali ya  kituo cha Angel Gabriel Day Care Center Mwasele Manispaa ya Shinyanga 
Mkurugenzi wa kituo cha Angel Gabriel Damary Mollessi akitoa taarifa ya kituo kwa mgeni rasmi.

Mkurugenzi wa kituo cha Angel Gabriel Damary Mollessi akitoa pongezi kwa mgeni rasmi.
watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao
Watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao
watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao

Watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao.
Watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao
Watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao.
Watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao wakati wa mahafali.

Mkurugenzi wa kituo cha Angel Gabriel Damary Mollessi akitoa taarifa ya kituo kwa mgeni rasmi.
Watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao.
Watoto wanao lelewa na kufundishwa katika kituo cha  Angel Gabriel day care wakionyesha vipaji vyao.

Post a Comment

0 Comments