6/recent/ticker-posts

ENG.JUMBE ATIMIZA AHADI YAKE ALIYO TOA KWA TIMU YA KATUNDA FC NA TANROADS SHINYANGA ,KATUNDA WASEMA WAKO MGUU SAWA KUIKABILI TIMU YA GAZA FC KUTOKA KISHAPU


Mdau wa michezo Mhandisi James Jumbe akikabidhi ahadi yake aliyotoa kwa Timu zilizo ingia fainali katika Mashindano ya Ligi daraja la 4 Ngazi ya wilaya.

Na Amo Blog Shinyanga.

Mdau wa michezo Mhandisi James Jumbe mkazi wa Manispaa ya Shinyanga ametimiza ahadi yake aliyo ahidi januari 14,2024 kwa timu zilizo cheza mchezo wa fainali katika Mashindano ya Ligi daraja la 4 Ngazi ya wilaya kwa kukabidhi zawadi ya Ng'ombe mwenye thamani ya shilingi laki saba ,mchele kilo gm 150,mbuzi wa 2 na soda kleti 10 kwa timu zilizo shiliki mchezo huo. 

Akieleza lengo la kukabidhi zawadi hizo Mhandisi jumbe alisema kuwa lengo ni kuunga mkono jitihada zinazo fanywa na uongozi wa chama cha mpira wa miguu wilaya ya Shinyanga SHIDEFA katika kuinua mchezo wa mpira wa miguu ndani ya manispaa ya shinyanga.

                             Tazama picha zaidi chini.















Post a Comment

0 Comments