6/recent/ticker-posts

ENG.JUMBE AIPA FURAHA TIMU YA KATUNDA FC NA TANROADS SHINYANGA KATIKA FAINALI YA KUMTAFTA BINGWA WA MANISPAA

Mdau wa michezo Mhandisi James Jumbe akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu zilizo ingia hatua ya fainali katika Mashindano ya Ligi daraja la 4 Ngazi ya wilaya.

Na Amo Blog Shinyanga.

Mdau wa michezo Mhandisi James Jumbe mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu zilizoingia hatua ya fainali katika mashindano ya ligi daraja la nne ngazi ya wilaya  lengo ikiwa ni kuunga mkono jitihada zinazo fanywa na uongozi wa chama cha mpira wa miguu wilaya ya Shinyanga SHIDEFA katika kuinua mchezo wa mpira wa miguu.

Fainali hiyo imechezwa leo Januari 14,2024 katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Shinyanga (Shycom) kwa kuzikutanisha timu ya Rangers  kutoka Tanroads dhidi ya timu ya Katunda dc kutoka kata ya Kizumbi.

Miongoni mwa vifaa alivyo kabidhi baada ya mchezo wa fainali kutamatika huku timu ya katunda Fc ikiibuka bingwa ni pamoja na jezi kwa timu zote mbili pamoja na kombe kwa Timu ya Katunda Fc.

Kabla ya kukabidhi vifaa hivyo, mdau huyo wa michezo mhandisi Jumbe alipata nafasi ya kuzungumza na washiriki ambapo amesema kuwa lengo la kutoa vifaa hivyo ni kuhakikisha halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na mkoa kwa ujumla unakua zaidi kimichezo pamoja na kuibua vipaji mbalimbali katika jamii. 

Kwa upande wake mwenyekiti wa chama cha mpira wamiguu mkoa wa Shinyanga Said Mankiligo ameziomba timu zilizo kidhi vigezo vya kucheza mashindano ya ligi daraja la tatu ngazi yamkoa kuchukua fomu ili kujiweka tayari kwa ajili ya kushiriki mashindano hayo huku akiahidi kuhakikisha mashindano ya ligi daraja la tatu ngazi yamkoa ya nafanyika katika uwanja wa CCM Kambarage ulioko Manispaa ya Shinyanga.

Mdau wa michezo Mhandisi James Jumbe akizungumza na wachazaji kabla ya mchezo kuanza.

Post a Comment

0 Comments