6/recent/ticker-posts

CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI TAWI LA KIZUMBI WAADHIMISHA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR KWA KUTOA MSAADA KWA WAGONJWA HOSPITALI YA KOLANDOTO

 Watumishi wa chuo kiku cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wakishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika chuo cha Sayansi Za Afya Kolandoto.

Na Amo Blog Shinyanga.

Watumishi chuo kiku cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wameshiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wanaoendelea kupata matibabu wodini katika hospitali ya Kolandoto ,Lengo ikiwa ni kuwafariji na kuwatia moyo katika maradhi yanayowasumbua.

Pia watumishi hao wameshiri bonanza lililo andaliwa na chuo cha Sayanzi za afya Kolandoto kwa lengo la kudumisha umoja na mshikamano baina Taasisi hizo.

Katika bonanza hilo imechezwa michezo mbalimbali ikiwemo mchezo wa Football, Netball, Volleyball,Riadha na kukimbiza kuku, ambapo katika michezo hiyo mchezo wa Football DK 90 zimemalizika kwa Chuo Kikuu cha Ushirika kushinda kwa mikwaju ya penalt 7-6 dhidi ya Timu ya Kolandoto,huku kwa upande wa Netball MoCu wakipata ushindi wa goli 12-11 dhidi ya Kolandoto,Volleyball Kolandoto wameshinda Set 2 - 1 dhidi ya MoCu,mchezo wa Riadha mshindi ni Lazaro Musa kutoka Kolandoto,

Watumishi wa chuo kiku cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wakishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika chuo cha Sayansi Za Afya Kolandoto.
Watumishi wa chuo kiku cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wakishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika chuo cha Sayansi Za Afya Kolandoto.
Watumishi wa chuo kiku cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wakishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika chuo cha Sayansi Za Afya Kolandoto.
Watumishi wa chuo kiku cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wakishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika chuo cha Sayansi Za Afya Kolandoto.
Watumishi wa chuo kiku cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wakishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika chuo cha Sayansi Za Afya Kolandoto.

Post a Comment

0 Comments