6/recent/ticker-posts

MHANDISI JAMES JUMBE ACHANGIA MILIONI 6 UJENZI WA MRADI WA TOFALI ZA BLOCK ,KITEGA UCHUMI CHA JUMUIA YA WAZAZI SHINYANGA

Mjumbe wa kamati ya utekelezaji jumuiya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Wilaya ya Shinyanga Mjini Mhandisi James Jumbe wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa jumuia ya Wazazi Taifa Fadhili Maganya.
 
Na Amo Blog Shinyanga

Mjumbe wa kamati ya utekelezaji jumuiya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Wilaya ya Shinyanga Mjini Mhandisi James Jumbe amejitoa kuchangia kiasi cha silingi milioni sita (milioni 6,000,000/=) kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Tofali za block uliyo zinduliwa na mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Taifa Fadhili Maganya Wakati waziara yake katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kuimarisha vitega uchumi vya jumuia ya wazazi katika Manispaa hiyo.

Post a Comment

0 Comments