6/recent/ticker-posts

Picha : MAHAFALI YA 36 YA KIDATO CHA 6 SHULE YA SEKONDARI BULUBA YA FANA SHINYANGA

Wahitimu kidao cha Sita 2024 katika shule ya sekondari Buluba liyopo mjini Shinyanga wakiingia kwa madaha ukumbini wakati mahafahali yao leo shuleni hapo

Na Amojmedia Blog Shinyanga 

Wahitimu 52 kutoka shule ya Sekondari Buluba iliyopo Mtaa wamiti Mirefu mjini Shinyanga wakiingia ukumbini leo April 19,2024 kulikofanyika mahafali ya 36 ya shule hiyo ambayo Mgeni rasmi alikuwa Naibu Mrajisi wa Vyama vya ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace ,huku wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa ,Chama  cha ushirika (SHIRECU) na serikali ,wazazi,wageni waalikwa na watu mbalimbali wenye mapenzi mema wamehudhuria mahafali hayo ambayo kati ya wahitimu 52 wa kike ni 15 na wakiume 37.

Kwa Upande wake Mkuu wa Shule ya Sekondari Buluba mwalimu Gilles William Kisako amewashukuru wazazi na walezi kwa kuendelea kuiamini Shule hiyo na kupeleka wananfunzi huku akiwaomba wazazi wengine kuendelea kuiamini Shule hiyo na kupeleka wanafunzi katika Shule hiyo inayo pokea wanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha 6.
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akisaini kitabu cha wageni Shule ya Sekondari Buluba.
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akiongoza akikata keki iliyo andaliwa na Wahitimu wa kidato cha sita.
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akiongoza zoezi la kuwalisha keki Wahitimu wa kidato cha sita.
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akiongoza zoezi la kuwalisha keki Wahitimu wa kidato cha sita.

Wahitimu kidao cha Sita 2024 katika shule ya sekondari Buluba liyopo mjini Shinyanga wakiingia kwa madaha ukumbini wakati mahafahali yao leo shuleni hapo
Wahitimu kidao cha Sita 2024 katika shule ya sekondari Buluba liyopo mjini Shinyanga wakiingia kwa madaha ukumbini wakati mahafahali yao leo shuleni hapo
Wahitimu kidao cha Sita 2024 katika shule ya sekondari Buluba liyopo mjini Shinyanga wakiingia kwa madaha ukumbini wakati mahafahali yao leo shuleni hapo
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akikabidhi kitabu cha wageni  kwa mkuu wa Shule ya Sekondari Buluba mwalimu Gilles William Kisako.
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akiteta jambo na mkuu wa Shule ya Sekondari Buluba mwalimu Gilles William Kisako wakati wa Mahafali.
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akiteta jambo na mkuu wa Shule ya Sekondari Buluba mwalimu Gilles William Kisako.

Wahitimu kidao cha Sita 2024 katika shule ya sekondari Buluba liyopo mjini Shinyanga wakiingia kwa madaha ukumbini wakati mahafahali yao leo shuleni hapo
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akiteta jambo na mkuu wa Shule ya Sekondari Buluba mwalimu Gilles William Kisako.

Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akiwa kwenye mahafali ya 6 Shule ya Sekondari Buluba .
Burudani Zinaendelea 
Burudani Zinaendelea 
Wakazi wa Shinyanga na maeneo ya jirani walijitokeza katika mahafali hayo leo
Wakazi wa Shinyanga na maeneo ya jirani walijitokeza katika mahafali hayo leo
Afsa kutoka benki ya NMB Tawi la Manonga Albini Mpona akikabidhi zawadi kwa mmoja wawalimu aliye imba wimbo wa kuwaaga wahitimu wa kidato cha sita.
Mgeni rasmi Naibu mrajisi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Shinyanga Hilida Boniphace akimpongeza Mmoja wawalimu aliye shiriki kutoa burudani katika Mahafali hayo.
Burudani Zinaendelea 
Picha za pamoja Zinaendelea baada ya Mahafali.
Picha za pamoja Zinaendelea baada ya Mahafali.

Picha za pamoja Zinaendelea baada ya Mahafali.
Picha za pamoja Zinaendelea baada ya Mahafali.
Picha za pamoja Zinaendelea baada ya Mahafali.

Post a Comment

0 Comments