6/recent/ticker-posts

NEWL YASHINDA TUZO ZA USALAMA NA AFYA MAHALI PAKAZI

Kampuni ya Northern Engineering Works Limited (NEWL) Imeshinda Tuzo katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Usalama na Afya Mahali Pakazi (OSHA) ya 2024 iliyo fanyika jijini Ausha ambapo kampuni ya Northern Engineering Works Limited (NEWL)  imeshinda tuzo ya Usalama na Afya Mahali Pakazi Mwaka 2024.

Maonyesho ya OSHA yamefanyika Jijini humo ambapo mgeni Rasmi alikuwa ni Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya waziri mkuu Kazi ,ijana, Ajira na watu wenye ulemavu  Patrobas Katambi aliye mwakilisha waziri Deogratius Ndejembi .

Baada ya zoezi la utoaji wa tuzo hizo Wafanya kazi wa Kampuni ya Northern Engineering Works Limited (NEWL) wameonyesha furaha yao baada ya kushinda tuzo hiyo huku wakieleza kuwa itakuwa ni motisha ya kuendelea kufanya viziri kwa kuimarisha Usalama na Afya mahali pakazi kwa wafanyakazi wao amesema Mr Osmond Lema Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya NEWL baada ya kupokea tuzo hiyo.


TAZAMA PICHA HAPA CHINI ZA WAFANYAKAZI WA NEWL WAKIONYESHA FURAHA YAO BAADA YA KUPOKEA TUZO.

Post a Comment

0 Comments