6/recent/ticker-posts

HAFLA YA NMB BUSINESS CLUB YA FANA KAHAMA SHINYANGA WAFANYABIASHARA WAIMWAGIA SIFA NA PONGEZI NMB

Kupitia NMB Business Club Tumezidi kujenga ushirikiano na wateja wetu ambapo mbali na mafunzo ya kibiashara tuliyotoa, tumeweza kubadilishana mawazo ni jinsi gani tunaweza kuboresha mambo mbalimbali pamoja na kuendeleza mahusiano yetu ya kibiashara na wateja wetu kutoka Manispaa ya Kahama na mkoa wa Shinyanga kwa ujumla, kwa kuwa Mahusiano bora na wateja wetu ni nguzo inayo ifanya benki ya NMB kuwa benki inayo toa huduma bora katika sekta ya fedha.


TAZAMA PICHA ZAMATUKIO HAPA CHINI.






















Post a Comment

0 Comments