6/recent/ticker-posts

VIONGOZI WA WANACHAMA NA SHABIKI WA TIMU YA SIMBA SHINYANGA WAIPONGEZA BENKI YA NMB KWA UBUNIFU ,WAAHIDI KUJIUNGA NA BENKI YA NMB

Uongozi wa Wanachama Kindakindaki wa Timu ya Simba Mkoa wa Shinyanga umepongeza Uongozi wa Benki ya Nmb kwa kuanzisha Akaunti za benki hiyo zenye Rangi ya Timu ya Simba kwa kuwa kadi hizo zitawawezesha pia wanachama kulipia ada zao kwa kutumia Akaunti hizo.

Viongozi hao wamesema hayo wakati walipo  kutana na viongozi Wabenki ya NMB Tawi la Manonga kwa lengo la kuwaeleza fursa na bidhaa zinazo tolewa na benki hiyo katika matawi mbalimbali.


Kwa upande wake Afsa Masoko wa Benki ya NMB Tawi la Manonga Albin Mpna akimuwakilisha meneja wa benki ya NMB Tawi la Manonga Gadiel Sawe katika kikao hicho walicho keti pamoja na viongozi wa wanachama na mashabiki wa Timu ya Simba mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwaeleza bidhaa zinazo tolewa na benki hiyo ikiwemo akaunti zenye nembo ya timu ya Simba ambazo zinapatikana kwa beinafuu katika matawi yote ya NMB.

''Benki ya NMB tunasema anza  msimu mpya waligi ukiwa na 

 kadi yako ya uanachama kupitia matawi yetu yote ya NMB

 yaliyopo karibu yako ili  #Usiachwe nyuma .(NMB Karibu yako)amesema mpona''

TAZAMA PICHA ZA MATUKI YOTE HAPA CHINI. Uongozi wa Wanachama Kindakindaki wa Timu ya Simba Mkoa wa Shinyanga wakifurahia kadi ya NMB.Uongozi wa Wanachama Kindakindaki wa Timu ya Simba Mkoa wa Shinyanga wakifurahia kadi ya NMB.Uongozi wa Wanachama Kindakindaki wa Timu ya Simba Mkoa wa Shinyanga wakifurahia kadi ya NMB.

Post a Comment

0 Comments