6/recent/ticker-posts

VUTA NIKUVUTE YA DIWANI WA KATA YA NGOKOLO MKWIZU NA DIWANI WA KATA YA KOLANDOTO MUSSA YAPAMBA MOTO KUELEKEA NUSUFAINALI KESHO SHY COM

 

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu kesho anatarajia kushuhudia vita ya Madiwani wawili ambao ni diwani wakata ya Ngokolo Mhe.Victer Mkwizu na Diwani wa Kata ya Ngokolo Mhe.Mussa Elias katika mchezo wa nusu fainali utakao pigwa katika uwanja wa chuo cha Ualimu Shinyanga (SHY COM)
TAZAMA RATIBA YA MASHINDANO YA DR. SAMIA / KATAMBI CUP - 2024

Hatua ya Nusu Fainali

Ijumaa, Agosti 16, 2024

Ngokolo vs Kolandoto - ShyCom

Jumamosi, Agosti 17, 2024

KASHWASA vs Masekelo - ShyCom

Muda wa kuanza mechi zote za Nusu Fainali ni saa 9:30 Alasiri.

Post a Comment

0 Comments