Akaunti hii ni maalumu kwaajili yako kuhakikisha
mambo ya mkwanja yanakaa sawa.
Ukiwa na akaunti hii:
➡️ Rejesho la hadi 30% ya malipo yako kupitia Lipa
Mkononi (QR)
➡️ Nunua muda wa maongezi kupitia NMB mkononi
➡️ Bima ya Simu Bure, ukitumia NMB Mkononi
➡️ Mkopo hadi Tsh 1,000,000 bila dhamana kupitia
simu
➡️ Urahisi wa kufanya malipo online bila gharama
yoyote
➡️ Hakuna malipo ya mwezi
➡️ Na michongo mingine kibao
Kampeni ya BONGE LA MPANGO iliyozinduliwa rasmi
tarehe 25 September itaendelea hadi tarehe 19 December mwaka huu ambapo
kigezo mojawapo ni kuweka pesa kima cha chini kikiwa shilingi laki moja ( iwe
kwa mkupuo au kidogokidogo kufikia kiwango hicho) ambapo Mshindi wa kwanza
atajishindia shilingi MILIONI 100 na Wateja 10 kila wiki wakishinda shilingi
laki moja kila mmoja, Wateja wengine wanne wakishinda shilingi milioni 5 kila
mwezi na wengine wakishinda friji ya milango miwili, simu, na jiko la gesi.
Kumbuka Kampeni hii ya BONGE LA MPANGO
inatoa fursa kwa Wajasiriamali na Wakulima kujishindia zawadi ambazo
zitaimarisha shughuli zao za kiuchumi kama vile Trekta pamoja na Pikipiki za
Toyo zenye matairi matatu.

0 Comments