Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Janeth Magomi, akifunga rasmi mafunzo ya walinzi wa Makampuni binafsi Wilaya ya Kahama.

Na Amo Blog Shinyanga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Janeth Magomi, amefunga rasmi mafunzo ya walinzi wa Makampuni binafsi Wilaya ya Kahama,hafla iliyofanyika leo Januari 17, 2025, mkoani humo.
Mafunzo hayo, ambayo yamehusisha jumla ya makampuni 21 na walinzi 122, yanalenga kuwajengea weledi, ukakamavu, mbinu za kujihami, na mbinu za ukamataji salama, ili kuwawezesha walinzi hao kutimiza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Kamanda Magomi ametoa wito kwa wamiliki wa makampuni ya ulinzi kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi na kuzingatia maslahi ya wafanyakazi wao huku akisisitiza umuhimu wa waajiri kuajiri watu wenye sifa, ikiwa ni pamoja na kuzingatia umri na uraia wa waajiriwa.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Makampuni ya Ulinzi Wilaya ya Kahama, Marius Fabian, ameushukuru uongozi wa Jeshi la Polisi kwa kuandaa na kutoa mafunzo hayo ambayo yamekuwa na tija kwao na kuliomba Jeshi hilo kuendelea kutoa mafunzo hayo kwa ajili ya kuimarisha ufanisi katika sekta ya ulinzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Janeth Magomi, akizungumza na wamiliki wa makampuni ya ulinzi pamoja na wahitimu wa mafunzo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Janeth Magomi, akiwakabidhi vyeti wamiliki wa Makampuni binafsi ulinzi ambayo walinzi wake wamehitimu mafunzo.

Mwenyekiti wa wamiliki wa makampuni ya ulinzi wilaya ya Kahama MAlius Fabiani akitoa neno la shukrani kwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Janeth Magomi baada ya kufunga mafunzo.
Walinzi kutoka katika makampuni binafsi waliohitimu mafunzo wakiendelea na maonyesho ya ukakamavu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Janeth Magomi, akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya walinzi wa Makampuni binafsi Wilaya ya Kahama.
Hafla ya kufunga mafunzo ya walinzi wa Makampuni binafsi Wilaya ya Kahama ikiendelea .

Maonyesho ya ukakamavu katika Hafla ya kufunga mafunzo ya walinzi wa Makampuni binafsi Wilaya ya Kahama yakiendelea .

0 Comments