6/recent/ticker-posts

MKURUGENZI SALU SECURITY BANDORA SALUMU MIRAMBO AJITOSA KUWANIA UDIWANI KATA YA CHEMCHEM MANISPAA YA TABORA


Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Salu Security, Bandora Salumu Mirambo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa CCM kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Chemchem, Manispaa ya Tabora.

Bandora amechukua fomu hiyo leo Juni 28, 2025




 

Post a Comment

0 Comments