Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Paul Joseph Blandy amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mhandisi Blandy amechukua na kurejesha fomu hiyo leo, Julai 2, 2025, katika ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, akionesha nia yake ya kulitumikia taifa kupitia nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
0 Comments