6/recent/ticker-posts

SHINYANGA KUZINDUA RASMI KAMPENI YA MAMA SAMIA Legal Aid Campaign JUNE 12 UWANJA WA SABASABA .



Uongozi wa Mkoa wa Shinyanga unatarajia kufanya uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MAMA SAMIA Legal Aid  Campaign) Uzinduzi unaotarajia kufanyika katika uwanja wa Sabasaba Halmashuri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani humo.

Akizungumzia maandalizi ya kampeni hiyo Msajili wa Watoa huduma ya Msaada wa Kisheria mkoa Tedson Ngwale amesemakuwa maandalizi ya uzinduzi wa kampeni hiyo yanaendelea kufanyika ili kuhakikisha kampeni hiyo inafanikiwa kwa ufanisi na kuleta tija kwa wananchi .

Aidha Ngwale amewaomba wananchi wa mkoa wa Shinyanga kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa sabasaba ili waweze kujifunza mambo mbalimbali juu upatikanaji wa huduma ya msaada wa kisheria.

 

 

Post a Comment

0 Comments