Kimaro ameeleza kuwa NMB Pesa Akaunt ni Akaunti ya kidijitali na ya haraka zaidi ambayo ukiwa na kitambulisho chako na shilingi elfu moja (1000) unafungua akaunti , huku akisisitiza kuwa ukiwa na Akaunti ya NMB Unaweza ukapata manufaa ya fuatayo.
Mikopo isiyo na dhamana
Kutoa, kuweka au kutuma pesa
Kulipia bili
Kubwa zaidi; hakuna ada za kila mwezi
Yote kupitia simu yako tu (kitochi au simu janja).
0 Comments