6/recent/ticker-posts

WAZEE KATA YA KUZUMBI WALIA NA WADAU WA MICHEZO SHINYANGA KUTO UPA KIPAUMBELE MCHEZO WA BAO,WAOMBA VIONGOZI KUUTAZAMA MCHEZO HUO

Baadhi ya wazee wanao cheza mchezo wabao katika kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga wakiendelea kucheza mchezo wabao huku wakiomba wadau wamichezo kuutazama mchezo huo.

Na Amo Blog Shinyanga.

Baadhi ya wazee wanao cheza mchezo wabao katika Eneo la Veta  kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga mkoani humo wamewaomba viongozi pamoja na wadau wamichezo mkoani Shinyanga kuuthamini na kuupa kipaumbele mchezo wabao kama ilivyo michezo mingine ndandi ya mkoa huo.

Wazee hao akiwemo Samweli Leonard wamesema hayo wakati wakizungumza na Amo Blog ilipotembelea katika eneo hilo ambali wazee wanakusanyika mda wa jioni kwa ajili ya kucheza karata na kubadilishana mawazo baada ya mda wakazi.

Aidha wazee hao wameongeza kuwa baadhi ya wadau wamichezo pamoja na viongozi wamekuwa wakiwasahau wazee wanao cheza mchezo wabao na kuwapa kipaumbele vijana wanao cheza mchezo wampira wamiguu kwa kudhamini mashindano mbakimbali .
''Sisi wazee tunaomba wajitokeze wadau wakutununulia bao zuri na kudhamini mchezo huo ili tuweze kushindana hali itakayo saidia kuutangaza mchezo wabao katika mkoa wetu wamesema baadhi ya wazee.''
Baadhi ya wazee wanao cheza mchezo wabao katika kata ya kizumbi wakiendelea na mchezo huku wakiomba wadau wamichezo kuutazama mchezo huo.

Post a Comment

0 Comments