Erick Marandu afsa Uhusiano wa Benki ya NMB Tawi la Manonga akizungumza kwenye ufunguzi wa Jukwaa la maendeleo ya ushirika mkoa wa Shinyanga ambalo limefanyikwa kwa muda wa siku mbili katika viwanja wa chuo kikuu cha ushirika KIKOP Manispa ya Shinyanga .
Na Amo Blog Shinyanga.
Benki ya NMB Tawi la Manonga imeshiriki Maadhimisho ya Jukwaa la maendeleo ya ushirika mkoa wa Shinyanga ambapo imetangaza fursa kwa wanaushirika kujiunga na mikopo yenye Riba na fuu pamoja na kuwataka wanaushirika kufungua akaunti ya NMB Pesa akaunti kwa ajili ya kujiwekea akiba pamoja na kutumia akaunti hiyo kukopa mikopo hadi shilingi laki tano .
Hayo yameelezwa na Erick Marandu afsa Uhusiano wa Benki ya NMB Tawi la Manonga wakati akizungumza kwenye ufunguzi wa Jukwaa la maendeleo ya ushirika mkoa wa Shinyanga ambalo limefanyikwa kwa muda wa siku mbili katika viwanja wa chuo kikuu cha ushirika KIKOP Kizumbi Manispa ya Shinyanga .
Aidha Marandu mbali na kueleza fursa za mikopo zinazo patikana katika Benki hiyo amewasii wana ushirika kutembelea ofisi za NMB Manonga ili waweze kujua fursa mbalimbali zinazo tolewa na benki hiyo ikiwemo mikopo na akaunti zisizo kuwa na makato.
Kwa upande wao baadhi ya wadau wa Benki ya NMB walio jitokeza kufungua akaunti za NMB Pesa akaunti wameupongeza uongozi wa Benki hiyo kwa ubunifu wao mzuri ambao utawaepusha wananchi na Mikopo umiza ambayo imekuwa iksababisha migogoro katika familia.
Erick Marandu ambaye ni Afsa uhusiano kutoka Benki ya NMB Tawi la Manonga akizungumza kwenye ufunguzi wa Jukwaa la maendeleo ya ushirika mkoa wa Shinyanga ambalo limefanyikwa kwa muda wa siku mbili katika viwanja wa chuo kikuu cha ushirika KIKOP Manispa ya Shinyanga .
Timu ya NMB Tawi la Manonga ikiwa kwenye ufunguzi wa Jukwaa la maendeleo ya ushirika mkoa wa Shinyanga ambalo limefanyikwa kwa muda wa siku mbili katika viwanja wa chuo kikuu cha ushirika KIKOP Manispa ya Shinyanga .
Timu ya NMB Tawi la Manonga ikiendelea kuwafungulia Akaunti za NMB Pesa akaunti wateja wapya kwenye ufunguzi wa Jukwaa la maendeleo ya ushirika mkoa wa Shinyanga ambalo limefanyikwa kwa muda wa siku mbili katika viwanja wa chuo kikuu cha ushirika KIKOP Manispa ya Shinyanga .
0 Comments