6/recent/ticker-posts

MENEJA WA BENKI YA NMB KANDA YA MAGHARIBI SEKA URIO KUZINDUA RASMI MASHINDANO YA UMISETA TABORA

 

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Bw. Seka Urio kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania(UMISETA) mkoa wa Tabora, Uzinduzi utakao fanyika Shule ya Sekondari Kazima.


Post a Comment

0 Comments