6/recent/ticker-posts

EWE MWANASIMBA FUNGUA AKAUNTI YA NMB LEO UJIPATIE KADI YAKO YENYE NEMBO YA SIMBA KABLA YA MSIMU WALIGI KUANZA

Na Amo Blog Shinyanga .

Je ? Wewe ni Mwanachama Kindakindaki wa Timu ya Simba ? Uongozi wa Benki ya Nmb Kanda ya Magharibi unakukaribisha wewe mwanachama wa timu ya Simba kufika  Benki ya NMB Tawi lolote lililopo karibu yako ili uchukue kadi ya uanachama ambayo itakuwezesha kulipa ada, na kuendelea kufurahia huduma bora za kibenki ukiwa na kadi yako hiyo
 hiyo kabla ya Msimu mpya wa Ligi kuanza.

Benki ya NMB tunasema anza  msimu mpya waligi ukiwa na 

 kadi yako ya uanachama kupitia matawi yetu yote ya NMB

 yaliyopo karibu yako ili  #Usiachwe nyuma .(NMB Karibu yako)

Post a Comment

0 Comments