6/recent/ticker-posts

JE ? WEWE NI MWANACHAMA WA TIMU YA YANGA ? FUNGUA AKAUNTI NMB LEO UJIPATIE KADI YAKO YENYE NEMBO YA YANGA KABLA YA MSIMU WALIGI KUANZA


Na Amo Blog Shinyanga .

Je ? Wewe ni Mwanachama Kindakindaki wa Timu ya Yanga ? Uongozi wa Benki ya Nmb Kanda ya Magharibi unakukaribisha wewe mwanachama wa timu ya Yanga kufika  Benki ya NMB Tawi lolote lililopo karibu yako ili uchukue kadi ya uanachama ambayo itakuwezesha kulipa ada, na kuendelea kufurahia huduma bora za kibenki ukiwa na kadi yako hiyo hiyo kabla ya Msimu mpya wa Ligi kuanza.

Benki ya NMB tunasema anza  msimu mpya wa ligi ukiwa na

 kadi yako ya uanachama kupitia matawi yetu yote ya NMB yaliyopo karibu yako ili  #Usiachwe nyuma .(NMB Karibu yako)





Post a Comment

0 Comments