6/recent/ticker-posts

Picha : BENKI YA NMB TAWI LA MANONGA YAENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Benki ya NMB Tawi la Manonga imeendelea kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuendelea kuwa karibu nao ili kuhakikisha wateja wa benki hiyo wanaendelea kupata huduma bora za kibenki ili wateja wake waweze kufikia malengo yao.

Karibu katika tawi letu la NMB Manonga upate huduma bora za kibenki.

#NMBJirani #Tumekupata #NMBKaribuYako

TAZAMA PICHA YA PAMOJA YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB TAWI LA MANONGA 























Post a Comment

0 Comments