🔥 TPS - Tintober Petrol Station 🔥
UBORA KATIKA KILA TONE
🛢️ Je Unahitaji mafuta bora? Kaa tayari 👉TPS – Tintober Petrol Station, kituo chako cha uhakika kwa huduma bora, salama na kwa bei rafiki! tunasema Kaa mguu pande 👉👉(OPENING SOON)
✅ Petrol & Diesel ya kiwango cha juu
✅ Huduma ya haraka na ya kitaalamu
✅ Mazingira safi, salama, na ya kisasa
✅ Wahudumu wakarimu na wenye uzoefu
📍 Tunapatikana Butengwa, barabara ya Old Shinyanga, Manispaa ya Shinyanga – km 5 kutoka Shinyanga Mjini.
🌟 TPS – Tintober Petrol Station
👉 “Ubora Katika Kila Tone”
0 Comments