6/recent/ticker-posts

PADRE NTEMI AONGOZA MISA NA KUTOA SAKRAMENTI YA UBATIZO KWA WATOTO 42 PAROKIA YA BUHANGIJA SHINYANGA

Padre Sosthenes Ntemi,ambaye ni Paroko msaidizi wa Parokia ya Buhangija jimbo katoliki la Shinyanga akiongoza misa ya ubatizo katika parokia ya Buhangija.

Na Amo Blog Shinyanga
Padre Sosthenes Ntemi,ambaye ni Paroko msaidizi wa Parokia ya Buhangija jimbo katoliki la Shinyanga amewataka wazazi na wasimamizi wawatoto 42 walio pata sakramenti ya Ubatizo katika parokia ya Buhangija kuiga mfano wa mtakatifu Stefano katika ukristo wao kwa kutenda na kuishi maisha yanayo mpendeza mwenyezi mungu.

Padre Ntemi Siku amesema hayo leo Desemba 26 katika Misa ya shukrani iliyo ambatana na zoezi la utoaji wa sakramenti ya ubatizo kwa watoto 42 ikiwa ni siku moja mara baada ya kusherehekea kuzaliwa Mkombozi yesu kristu.

Amesema katika maisha ya Mt.Stefano inawapasa waumini kujifunza mambo matatu makuu ambayo ni kuifahamu na kuitetea imani kwa ujasiri na kwa nguvu zote ,kuwa watu wa msamaha na kuwa watu wa matumaini katika Bwana siku zote huku akiwaomba waumini kuendelea kumuomba mwenyezi mungu ili aweze kuwaimarisha kiroho na kimwili.

Pia Padre Ntemi amewakumbusha wazazi na wasimamizi wawatoto 42 walio batizwa kusimamia malezi ya watoto hao ili waweze kukua katika misingi ya kutenda matendo ya kumpendeza mwenyezi mungu.

''Tutumie Akili na Ufahamu tuliopewa na Mwenyezi Mungu, kwa kuyang'amua mambo mazuri na kuyaishi, na mambo mabaya kuyaepuka, ili tumpendeze Mungu kwa matendo mema, katika maisha yetu ya duniani'' amesema Padre Ntemi.

Katekista wakigango cha Buhangija Parokia ya Buhangija katekista Samweli Seni.
Padre Sosthenes Ntemi,ambaye ni Paroko msaidizi wa Parokia ya Buhangija jimbo katoliki la Shinyanga akiongoza misa ya ubatizo katika parokia ya Buhangija.
Padre Sosthenes Ntemi,ambaye ni Paroko msaidizi wa Parokia ya Buhangija jimbo katoliki la Shinyanga akiendelea na zoezi la ubatizo wa watoto katika parokia ya Buhangija.

Watoto wa Utoto mtakatifu wa yesu katika Parokia ya Buhangija jimbo katoliki la Shinyanga wakitoka nje ya kanisa baada ya misa ya ubatizo.
Waumini Parokia ya Buhangija jimbo katoliki la Shinyanga wakitoka nje ya kanisa baada ya misa ya ubatizo.

Waumini Parokia ya Buhangija jimbo katoliki la Shinyanga wakifatilia misa ya ubatizo.

Post a Comment

0 Comments