KARIBU ASCO LOUNGE SHINYANGA KIOTA CHA BURUDANI NA MISOSI MITAMU,ZAMANI ILI KUWA THE DEES SASA NI ASCO LOUNGE


Karibu ASCO LOUNGE Shinyanga! Kiota cha Burudani na Misosi Mitamu

Tuna furaha kukukaribisha kesho ASCO LOUNGE tutakuwa tunatest mitambo ,kwani Asco Lounge ni kiota kizuri cha burudani kilichozungukwa na mazingira tulivu, yanayofaa kwa wapenzi wa burudani na chakula kitamu!

Hapa, utapata vyakula vya aina mbalimbali, vikiwemo samaki watamu kutoka Ziwa Victoria, kuku, mbuzi, na ng'ombe choma laini kabisa.

Hakikisha unajivinjari na vinywaji mbalimbali vinavyofaa kwa kila ladha.

ASCO LOUNGE ni mahali pa kufurahi, kupumzika na kula vyakula bora na burudani ya kipekee.

NJOO NA familia, marafiki, na wapenzi wa muziki.

Usikose! Tupo hapa Shinyanga kwa ajili yako.


Post a Comment

0 Comments