6/recent/ticker-posts

KONGAMANO JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI MANISPAA YA SHINYANGA LAFANA ,NAIBU WAZIRI KATAMBI AWAKUMBUSHA WANAWAKE SWALA LA MALEZI BORA

Wanawake wakiwa wamembeba Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na ajira Mhe. Paschal Patrobas Katambi katika kongamano.

Na Mapuli Kitina Misalaba

Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na ajira Mhe. Paschal Patrobas Katambi amewakumbusha wanawake wote hapa Nchini kuwajibikia jukumu la malezi bora na makuzi ya watoto kama hatua ya kulinda maadili.

Katambi ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza kwenye kongamano la wanawake kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani.

Amesema ili kukabiliana na tishio la mmomonyoko wa maadili ni wajibu wa kila mwanamke na jamii kwa ujumla kusimamia malezi na makuzi ya watoto kwa kuzingatia maadili mema.

Katibu wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Taifa Dkt. Regina Malima amewataka wanawake kuchukua hatua haraka katika kujikwamua kiuchumi huku akiwaomba kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika shughuli za maendeleo.

Mwenyekiti wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Zezema Shilungushela amesema jukwaa hilo limelenga kuwapataia elimu na fursa mbalimbali wanawake.

Jukwaa la wanawake Manispaa ya Shinyanga leo limefanya kongamano kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8 na kwamba kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Wekeza kwa wanawake kuharakisha maendeleo ya Taifa na ustawi wa jamii”.
Katika kongamano hilo mada mbalimbali zimetolewa na wawezeshaji ikiwemo mada ya Afya ya akili, malezi ya watoto, wanawake na uongozi pamoja na ukatili wa kijinsia.Awali baadhi ya viongozi wakisalimiana kabla ya kuingia ukumbini.

Buruduni ikiendelea katika kongamano la wanawake wa jukwaa la uwezeshaji kiuchumi Manispaa ya Shinyanga, kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani.

Viongozi mbalimbali.

Madiwani wa viti maalum Manispaa ya Shinyanga.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja Mkoani Shinyanga Anaskolastika Ndagiwe (MC Mama Sabuni) akizungumza kwenye kongamano hilo.

Afisa maendeleo ya jamii Manispaa ya Shinyanga, Bestina Gunje akitambulisha wageni waliohudhuria kwenye kongamano hilo la wanawake wa jukwaa la uwezeshaji kiuchumi.

Mwenyekiti wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Zezema Shilungushela akisoma taarifa fupi ya jukwaa hilo.

Mwenyekiti wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga Mwalimu Zezema Shilungushela akizungumza kwenye kongamano hilo.

Kongamano la jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga likiendelea katika ukumbi wa mikutano Green View mjini Shinyanga.

Mwezeshaji wa mada ya Afya ya Akili Bi. Sabrina Majikata akizungumza kwenye kongamano la wanawake wa jukwaa la uwezeshaji kiuchumi Manispaa ya Shinyanga.

Mwezeshaji wa mada ya malezi ya watoto kutoka dawati la jinsia na watoto Jene Mwasembe akizungumza kwenye kongamano hilo.

\

Mwezeshaji wa mada ya ukatili wa kijinsia kutoka SMAUJATA Manispaa ya Shinyanga Bi. Husna Maige akizungumza kwenye kongamano hilo.

Mwezeshaji wa mada ya ukatili wa kijinsia kutoka SMAUJATA Manispaa ya Shinyanga Bi. Husna Maige akizungumza kwenye kongamano hilo.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja Mkoani Shinyanga Anaskolastika Ndagiwe (MC Mama Sabuni) akizungumza kwenye kongamano hilo.

Mwezeshaji wa mada ya wanawake na uongozi, ambaye ni Diwani viti maalum kata ya Kambarege Mhe. Sheila Mshandete akizungumza kwenye kongamano hilo.

Viongozi mbalimbali wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi wakimpokea naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na ajira Paschal Patrobas Katambi ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini.

Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na ajira Paschal Patrobas Katambi ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini akiwasili ukumbini.

Kongamano la jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga likiendelea katika ukumbi wa mikutano Green View mjini Shinyanga.

Kongamano la jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Manispaa ya Shinyanga likiendelea katika ukumbi wa mikutano Green View mjini Shinyanga.

Afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Shinyanga Bi. Lemiflora Nyalanja akizungumza kwenye kongamano hilo la jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi.

Naibu meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Zamda Shabani akitoa ushuhuda kwenye kongamano hilo.

Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana na ajira ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Paschal Patrobas Katambi akizungumza kwenye kongamano la jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi.

Mgeni rasmi, Katibu wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Taifa Dkt. Regina Malima akizungumza kwenye kongamano hilo.

Post a Comment

0 Comments