.Na Amo Blog Shinyanga
Maombezi ya wanawake na watoto
duniani katika Manispaa ya Shinyanga yaliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake kutoka
Makanisa ya Kiinjili Tanzania (CCT ) Tawi la Ndala , yamefanyika leo
Ijumaa Machi 1,2024 katika kanisa la Anglikana Ndala na kuongozwa na Naibu Meya
wa Manispaa ya Shinyanga Zamda Shabani .
Maombezi ya wanawake duniani CCT Tawi la Ndala yamehudhuriwa na wanawake kutoka kwenye makanisa mbalimbali ya Kikristo ya Shinyanga, ambapo mgeni Rasmi alikuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Zamda Shabani .
0 Comments