Na Amo Blog Shinyanga
Kamishina
Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi amekabidhi
Iftar kwa waumini wa dini ya kiislamu katika msikiti wa Mayanji Kata ya
Ukenyenge Halmasahuri ya Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya
sadaka yake kwa waumini wadini hiyo walio funga mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Kamanda
Magomi amekabidhi Iftar hiyo leo Aprili 6,2024 alipo tembelea katika Msikiti wa
Mayanji kwa lengo la kutoa sadaka yake kwa waumini wadini ya kiislam walio
funga katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan
Aidha
Kamanda Magomi ametumia nafasi hiyo kuwatakia Idd njema Waislam wote walio
funga katika wilaya ya Kishapu na mkoa wa Shinyanga kwa ujumla huku akiwasii
kusherekea kwa Amani na utulivu wa kati wa sikukuu za idd na kueleza kuwa jeshi
la polisi limejipanga kuendelea kuimalisha ulinzi na usalama katika kipindi cha
sikukuu ya Idd ili waumini waweze kusherekea sikukuu vizuri.
Pia
Kamanda Magomi amekabidhi Trip 3 za Kokoto zenye thamani ya Zaidi ya
Shilingi laki tano kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Mayanji pamoja na Tofali
elfu moja kwa ajili ya ujenzi wa jiko katika Shule ya Msingi Mayanji iliyopo
katika kijiji cha mayanji kata ya ukenyenge halmashauri ya Wilaya ya Kisgapu
mkoani Shinyanga.
Kwa upande wake Shekhe Othuman Ndamo ambaye ni mwenyekiti wa msikiti wa Mayanji akizungumza kwa niaba ya waumini wa Msikiti amemshukuru kamanda Magomi kwa kuguswa na kutoa sadaka hiyo na kuahidi kumuombea katika utendaji kazi wake wakuwatumikia wananchi kwa kuimalisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.\Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akikabidhi Iftar kwa waumini wa Dini ya kiislam Ukenyenge Kishapu.Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi akitoa elimu kwa wananchi wa kijiji cha Mayanji juu ya umuhimu wakutoa taarifa za uhalifu na wahalifu kwenye maeneo yao pamoja na kutoa onyo juu ya vitendo vya kujichukulia sheria mkononi.
0 Comments