Na Amo Blog Shinyanga
Mamia ya Wakazi wa wilaya na Mkoa wa Shinyanga , hususani
wakazi wa Kata ya Tinde na vitongoji vyake, wamefurika huduma ya NMB Pesa
Akaunti pamoja na huduma ya Faraja Bima katika kampeni ya Kuhamasisha Ufunguaji
wa Akaunti ya NMB Pesa Akaunti Isiyo na Makato ya Mwezi inayotolewa na Benki ya
NMB pamoja na Akaunti ya Faraja Bima.
Kampeni hiyo inayoendeshwa na Uongozi wa Benki ya NMB Kanda ya
Magharibi ,NMB Tawi la Manonga kwa kushirikiana na Amos John (Mc Mzungu mweusi )
wameendesha kampeni ya NMB Karibu yako haachwi mtu nyuma iliyofanyika leo
katika mnada wa Tinde wilaya ya Shinyanga kwa kuwapa nafasi wananchi walio
jitokeza katika mnada huo kufungua Akaunti za Shilingi 1,000/= Tu na Chapu Chapu
Akaunti zoezi lililoenda sambamba na kuelezea faida za kuwa na bima ya faraja.
Akielezea lengo la kutembelea mnada wa Tinde Afisa Masoko wa Benki ya NMB Tawi la Manonga Albin
Mpona amesema kuwa Benki ya NMB
ambayo inafanya kazi kubwa kwa ajili ya ustawi wa maisha ya watanzania kwa
kuanzisha NMB Pesa akaunti , ambayo kwa shilingi 1,000/= akaunti ambayo itakuwezesha kupata huduma zote
za kifedha, ikiwemo mikopo, kutuma, kupokea, kutoa fedha na kulipia bili
mbalimbali.
“Sasa, mimi niwaombe kitu kimoja Wana Tnde sisi tupo wengi sana na
‘buku buku’ zipo nyingi sana miongoni mwenu, changamkieni fursa kwa kufungua
akaunti za NMB Pesa ili mujiwekee akiba, lakini mpate kunufaika na huduma za
kifedha za benki hii amesema Mpona.
Awali, afisa Masoko wa Benki ya NMB Tawi la Manonga Albin Mpona
amewahakikishia Wana Tinde na Watanzania kwa ujumla, kwamba NMB imewaletea
fursa inayoenda kubadili maisha yao, kupitia NMB Pesa Akaunti, ambayo ni ya
kidigitali unayofunguliwa kwa Shilingi 1,000 tu, ikiwafikia ikiwa na fursa
nyingi.
"Fursa
ya kwanza inayokuja na akaunti hii ni kuwa unaingia moja kwa moja kwenye Huduma
Jumuishi za Kifedha kupitia NMB, watoa huduma wametapakaa kote kuhakikisha kila
Mtanzania anakuwa sehemu ya huduma hii inayokuja chini ya kaulimbiu ya ‘Haachwi
Mtu".
"Kupitia NMB Pesa, utakuwa umeingia moja kwa moja katika huduma ya
NMB Mkononi, inayokupa wigo mpana wa kujihudumia na kuhudumiwa kibenki bila
kuja matawini ama katika ofisi za benki yetu ambako utafanya miamala na malipo
na manunuzi kidigitali".
"Pia,
rekodi zako kipesa kupitia NMB Pesa Akaunti, zitakuongezea fursa, kwani kubwa
kuliko yote utaweza kukopa hadi shilingi 500,000 kupitia Mshiko Fasta, huduma
ya mikopo isiyohitaji dhamana yoyote wala kujaza fomu. Hapo vipi,
haujabadilisha maisha yako?", amesema Albin Mpona
Afisa Masoko wa Benki ya NMB
Tawi la Manonga Albin Mpona akiwafungulia akaunti ya NMB Pesa Baadhi ya wananchi waliojitokeza kufungua akaunti katika Mnada wa Tinde.
Zoezi la kuwafungulia Akaunti Baadhi ya wananchi waliojitokeza kufungua akaunti za Nmb Pesa Na Chapu Chapu Akaunti katika Mnada wa Tinde likiendelea.
MC Mzungu mweusi Events akihamasisha wananchi kufungua akaunti za NMB Pesa na Chapu Chapu Akaunti katika mnada wa Tinde.
Zoezi la kuwafungulia Akaunti Baadhi ya wananchi waliojitokeza kufungua akaunti za Nmb Pesa Na Chapu Chapu Akaunti katika Mnada wa Tinde likiendelea.
MC Mzungu mweusi Events akikabidhi zawadi ya Tisheti kwa mmoja wawateja aliye fungua Akaunti ya NMB Pesa katika mnada wa Tinde.MC Mzungu mweusi Events akimkabidhi Shilingi Elfu 1000 Mmoja wa mamalishe anayetamani kuwa na Akaunti ya NMB Pesa kwa ajili ya kujiwekea akiba anayo pata katika Shughuli zake.
Zoezi la kuwafungulia Akaunti Baadhi ya wananchi waliojitokeza kufungua akaunti za Nmb Pesa Na Chapu Chapu Akaunti katika Mnada wa Tinde likiendelea. Zoezi la kuwafungulia Akaunti Baadhi ya wananchi waliojitokeza kufungua akaunti za Nmb Pesa Na Chapu Chapu Akaunti katika Mnada wa Tinde likiendelea. Zoezi la kuwafungulia Akaunti Baadhi ya wananchi waliojitokeza kufungua akaunti za Nmb Pesa Na Chapu Chapu Akaunti katika Mnada wa Tinde likiendelea. MC Mzungu mweusi Events akihamasisha wateja kufungua Akaunti ya NMB Pesa katika mnada wa Tinde. MC Mzungu mweusi Events akikabidhi zawadi ya Tisheti kwa mmoja wawateja aliye fungua Akaunti ya NMB Pesa katika mnada wa Tinde.
Mteja wa Nmb akifurahia zawadi ya tisheti aliyopewa baada ya kufungua Akaunti ya NMB Pesa katika mnada wa Tinde.
Zoezi la kuwafungulia Akaunti Baadhi ya wananchi waliojitokeza kufungua akaunti za Nmb Pesa Na Chapu Chapu Akaunti katika Mnada wa Tinde likiendelea. MC Mzungu mweusi Events akihamasisha wateja kufungua Akaunti ya NMB Pesa katika mnada wa Tinde.
Wananchi wakichangamkia Zawadi zinazotolewa wakati wa kufungua Akaunti ya NMB Pesa katika mnada wa Tinde.
MC Mzungu mweusi Events akihamasisha wananchi kufungua akaunti za NMB Pesa na Chapu Chapu Akaunti katika mnada wa Tinde. Burudani inaendelea katika Mnada wa Tinde .
Mmoja wawateja akifurahia zawadi ya tisheti aliyopata katika kampeni ya Nmb Karibu yako Haachwi mtu nyuma.
Burudani inaendelea katika Mnada wa Tinde .
0 Comments