6/recent/ticker-posts

AFSA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA NMB RUTH ZAIPUNA ABISHA HODI OFISI YA RC SHINYANGA ,WATETA JAMBO NA MHE.MACHA

Na AmojMedia Shinyanga. 
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna amefanya ziara mkoani Shinyanga na kutana na kufanya mazungumzo na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Annamringi Macha ofisini kwake mkoani Shinyanga.

Katika kikao hicho, Bi. Zaipuna ameelezea namna uwekezaji wa Benki ya NMB katika teknolojia unavyochochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini kupitia masuluhisho mbalimbali.

 Pia Bi,Zaipuna akiwa kwenye ziara yake ametembelea ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tabora ,Shinyanga na Simiyu ambapo pamoja na mambo mengine ameelezea mchango wa Benki ya NMB  katika utoaji wa elimu ya fedha kwa wateja na jamii kwa ujumla.

Aidha Bi. Zaipuna akatika ziara yake mkoani Shinyanga ameambatana na viongozi wengine wa benki hiyo nchini pamoja na viongozi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi.

Kwaupande wake mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha amempongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi.Ruth Zaipuna, kwa kuendelea kutoa ushirikiano na uongozi wa mkoa huo huku akiahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa benki hiyo ambayo inamchango mkubwa katika jamii ya Mkoa wa Shinyanga na Taifa kwa ujumla.
# nmb tanzania#Go na nmb

TAZAMA HABARI PICHA ZA MATUKIO HAPA CHINI.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akiteta jambo na mhe.Macha
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akiipongeza benki ya NMB wakati wamazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ofisini kwake.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akimpongeza meneja wa benki ya NMB Kanda ya Magharibi Restus Asenga aliye ambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna katika ziara hiyo.

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akimpongeza aliyekuwa meneja wa benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio aliye ambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna katika ziara hiyo.

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akiendelea kuwapongeza machifu kutoka benki ya NMB pongeza aliyekuwa meneja wa benki ya NMB.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akiendelea kuwapongeza machifu kutoka benki ya NMB pongeza aliyekuwa meneja wa benki ya NMB.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akiendelea kuwapongeza machifu kutoka benki ya NMB pongeza aliyekuwa meneja wa benki ya NMB.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akimpongeza meneja wa benki ya NMB Kanda ya Magharibi Restus Asenga aliye ambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna katika ziara hiyo.

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akimpongeza meneja wa benki ya NMB Kanda ya Magharibi Restus Asenga aliye ambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna katika ziara hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akisalimiana na Mwajiri wa kanda.aliye ambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna katika ziara hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Annamringi Macha akisalimiana na viongozi walio ambatananna Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna katika ziara hiyo.

Picha ya Pamoja  
Picha ya Pamoja 

Picha ya Pamoja  

Picha ya Pamoja  

Post a Comment

0 Comments