6/recent/ticker-posts

LIGI YA DR. SAMIA / KATAMBI CUP _ 2024 YA KUWANIA MAMILIONI YA FEDHA YAENDELEA KUPAMBA MOTO SHINAYNGA ,MAMIA WAJITOKEZA KUTAZAMA DABI YA NGOKOLO NA NDEMBEZI

Ligi ya Dr Samia Katambi Cup imeendelea kupambamoto katika viwanja vya Jasko Manispaa ya Shinyanga mkoani humo ambapo katika mchezo wake ulio chezwa leo Julai 26 katika viwanja hivyo imeikutanisha timu ya Kata ya Ndembezi pamoja na timu ya Kata ya Ngokolo ambapo mchezo huo umemalizika kwa timu zote kugawana poiti moja moja baada ya dakika 90 timu zote kutoka sare ya bila kufungana.

Ligi hiyo yenye lengo la kuibua vipaji vilivyojificha ambayo yatafanyika katika jimbo la Shinyanga mjini Mkoani hapa ambayo yanafadhiliwa na mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi na kushirikisha Timu 32 pamoja na michezo mingine 12 huku washindi katika mashindano hayo wakitarajia kuondoka na zawadi za fedha ikiwemo mshindi wakwanza kuondoka na zawadi ya shilingi milioni 6.

TAZAMA PICHA YA MNYUKANO WATIMU. 


































Post a Comment

0 Comments