ASKOFU Elibariki Kutta wa Kanisa la Kiaskofu la Anglikana Jimbo la
Tanzania anayeishi
nchini marekani (USA) ameahidi kuunga mkono
juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Michezo kwa kujenga uwanja
mkubwa wa kisasa katika kata ya Mlali Wilayani Kongwa mkoani Dodoma ikiwa nisehemu ya kuinua kiwango cha michezo kwa kuboresha miundombinu
ya viwanja vya michezo nchini.
0 Comments