

Shule ya Sekondari KOM liyopo katika Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga ni shule inayosifika vizuri kitaaluma kutokana na kuendelea kufanya vizuri kwenye matokeo ya mitihani.
Shule ya Sekondari Kom tunazo nafasi za kuhamia Kidato cha kwanza na Kidato cha tatu.
Lengo la Kom Sekondari Tunalenga kutoa elimu bora kwa vijana wote wenye kiu na elimu bora, kwani tunayo mazingira mazuri ya kujifunzia yanayomwezesha mwanafunzi kujifunza vizuri na hatimaye kuweza kukabiliana na changamoto katika maisha yake ya baadaye na Taifa Kiujumla.

Page · Private School

Butengwa, Old Shinyanga, Tanzania

0767 483 046

komsecondary@komclass.com
Kwa Mawasiliano zaidi KOM Secondary School
+255 767 618 213
+255 768 105 820
+255 767 483 046
NYOTE MNAKARIBISHWA
TAZAMA PICHA ZA BAADHI YA MAJENGO NA OFISI YA SHULE.
0 Comments