Na unahitaji mafuta yenye ubora kwa kila tone?
Habari njema kwako! 🔥🔥
TPS – Tintober Petrol Station inazinduliwa rasmi KESHO, na tunakukaribisha kwa mikono miwili!
🛢️ "Ubora Katika Kila Tone" – Sasa huduma hii bora ipo karibu yako kabisa!
Kwanini Uchague TPS?
👉 Kituo kipya chenye huduma za kisasa
👉 Mafuta safi, salama, na ya kuaminika
👉 Bei rafiki kwa kila mteja
👉 Wahudumu wenye tabasamu, wakarimu na wenye moyo wa kusaidia
🎉 NJOO UJIPATIE OFFA ZA UFUNGUZI NA ZAWADI ZA KUTOSHA!
💥 Hii si siku ya kawaida – ni siku ya kuandika historia mpya kwa wakazi wa Shinyanga na maeneo jirani.
TPS inafunguliwa kwa kishindo kikubwa – tunakuambia: KAA MGUU MPANDE!
📍 Mahali: Butengwa, Barabara ya Old Shinyanga – Manispaa ya Shinyanga
(umbali wa kilomita 5 kutoka mjini)
📅 Tarehe ya Ufunguzi: KESHO
🕗 Muda: Kuanzia saa 2:asubuhi
🎁 NJOO mapema – shinda zawadi,
🌟 TPS – Tintober Petrol Station
👉 "Ubora Katika Kila Tone – Ni wakati wa kuonja tofauti!"
📞 Kwa maelezo zaidi:
📱 0767 618 213 / 0629 590 883
TAZAMA PICHA ZOTE KUTOKA KITUO CHAKO CHA MAFUTA YENYE UBORA KWA KILA TONE TPS.









0 Comments