6/recent/ticker-posts

TITUS PHILIPO MFANYA BIASHARA WA MADINI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA NYAMALOGO 2025-2030

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Titus Philipo Kalemela akichukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025.

Na Mwandishi wetu Amo Blog Shinyanga. 

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mfanya biashara wa madini Titus Philipo Kalemela ,amechukua fomu ya kuomba ridhaa CCM kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Nyamalogo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Fomu hiyo ameichukua leo Juni 30 2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM kata ya Nyamalogo
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Titus Philipo Kalemela amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025

Post a Comment

0 Comments